GET /api/v0.1/hansard/entries/1336859/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1336859,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1336859/?format=api",
    "text_counter": 71,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "(KCAA) hutoa Certificate of Airworthiness kwa mashirika ya ndege. Certificate hiyo hutolewa upya baada ya muda fulani. Kwa hivyo, kama kuna matatizo ya ndege, inamaanisha kuwa tatizo liko na KCAA wala siyo shirika la ndege. Hii ni kwa sababu KCAA wako na inspectors ambao lazima wafanye inspection na kuenda angani na ndege hiyo kabla wapeane license . Ninataka kushauri kuwa tuweke wataalamu katika hiyo Public Petitions Committee watakaosaidia kuchunguza hiyo Petition kwa sababu kuna masuala ya kiufundi ambayo mtaalamu anaweza kuyafahamu. Kwa mfano, kama kuna combustion katika ndege, lazima itoe moshi. Ikiwa hakuna moshi, inamaanisha kuwa hakuna combustion . Pia, kuna tofauti kati ya"
}