GET /api/v0.1/hansard/entries/1336861/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1336861,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1336861/?format=api",
    "text_counter": 73,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": ", turboprop na aina nyinginezo. Unaweza kuwa umezoea zile ndege za Kenya Airways ambazo hazitoi moshi na ukatarajia kuwa ukitumia zile turboprop, hazitatoa moshi pia. Lazima jambo hilo liangaliwe vizuri. Tukizungumzia usalama, incident inaweza kutokea kwa sababu ndege ni machine . Kama incident moja ya sauti imetokea kwa sababu ndege ni machine, ushauri wangu ni kuwa Kamati iangalie ndege zote za Kenya, hususan general aviation, kwa sababu hata ndege ya Kenya Airways ishawahi pata shida ikielekea Mombasa na Wabunge walikuwa mle ndani. Mbona hatusemi kuwa Kenya Airways ilikuwa na shida? Hii inaonekana ni kama tuna target"
}