GET /api/v0.1/hansard/entries/1336863/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1336863,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1336863/?format=api",
"text_counter": 75,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": ". Kwa hivyo, usalama wa ndege zote za Kenya uangaliwe vizuri. Tunapoongea kuhusu bei, hujalazimishwa kupanda ndege. Masuala ya bei ni tofauti na usalama. Je, shida ni bei au usalama? Ukiongeza maneno ya bei hapo, inaleta shida. I willdeclare my interest . I am from the aviation industry ."
}