GET /api/v0.1/hansard/entries/1337054/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1337054,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1337054/?format=api",
    "text_counter": 266,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana Mhe. Spika wa Muda. Nitaenda mbio kwa vile muda hauko nasi. Kwanza, ninapongeza Kamati ya Afya kwa kuleta Mswada huu Bungeni. Dawa zimekuwa zikitumiwa kwa njia mbaya. Tumeona watu wengi wamefungua chemists kila mahali na wanauza madawa. Mswada huu utakuwa mzuri sana ikiwa utapita na kurekebishwa katika sehemu ambazo zinaweza kuleta sintofahamu kwa watu wa sekta hii. Ifahamike kuwa kuna dawa ambazo watoto wengi hutumia. Bora ameangalia ile prescription inasoma nini. Wao The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}