GET /api/v0.1/hansard/entries/1337055/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1337055,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1337055/?format=api",
    "text_counter": 267,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "huenda wakanunua na yule mtu wa pharmacy, kwa vile hamuulizi prescription kutoka kwa daktari, huangalia biashara tu na kutoa dawa zile kwa mtoto. Ni bora ikiwa kutakuwa na sheria kama hii inayoletwa kuzingatia na kuangalia sekta hii vizuri. Ili tusilete madhara kwa wananchi, wanaouza dawa wanafaa kuwa watu waliobobea katika sekta hii. Hata watoto wa shule wametumia dawa hizi wakizipata kiholela. Wamezitumia kuavya mimba na wengine wamezitumia wakiwa na stress kwa kuwa wanajua dawa fulani hupatikana katika chemist fulani. Wanafunzi hawa hujua kuwa watainywa ile dawa na kulala. Lakini haisadii. Imekuwa ikiwaharibia maisha yao tu. Kwa hivyo, ninachukua fursa hii kupongeza Mswada huu kwa kuwa kuna wenzangu wanaotaka kuzungumza. Kama alivyosema dada yangu, Mhe. Irene Mayaka, tusiweke mwanya wa watu kupelekana kortini wakirudi. Tuweke sheria ambayo itakayokubalika. Iwe sheria ambayo itazingatia sheria tulizonazo katika taifa hili. Muhimu katika yote ni jinzi dawa zilizoharibika huharibiwa. Dawa zafaa kutupwa"
}