GET /api/v0.1/hansard/entries/1337128/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1337128,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1337128/?format=api",
"text_counter": 55,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Asante sana, Mhe. Spika. Vile ambavyo vita vinaathiri Lamu, mimi kama Mama Mombasa naamini kuwa vinaathiri jamii yetu nzima. Ningependa kutoa ushauri kwa viongozi wa Lamu na Pwani kuwa haya maswala yanashika kaunti zetu. Tushikane kama viongozi wa Pwani na tutafute suluhisho."
}