GET /api/v0.1/hansard/entries/1337305/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1337305,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1337305/?format=api",
"text_counter": 232,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Asante sana Mhe. Spika wa Muda. Ninaunga Mswada huu ulioletwa na Kiongozi wa Wengi ndani ya hili Bunge kuhusu maswala ya bima . Ni dhahiri hata kutokana na vile Wabunge wamezungumza kuwa kampuni za bima zimekuwa zikiwanyanyasa Wakenya kwa miaka mingi sana. Ukienda katika afisi zao, watakukaribisha kwa lugha tamu na hawawezi wakakupa sheria na masharti kwa lugha ambayo wawezakuelewa vizuri kama yule bodaboda, mtu wa matatu anayejua tu ni sheria ikiwa sina"
}