GET /api/v0.1/hansard/entries/1337360/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1337360,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1337360/?format=api",
    "text_counter": 287,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Matuga, ANC",
    "speaker_title": "Hon. Kassim Tandaza",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa hii. Kwanza kabisa, ninakubaliana na aliyetoa Mswada huu, nikisimama kuuunga mkono. Ni kweli kuwa kulikuwa na ubaguzi katika hili jopo la vijana, na ipo haja ya kuhakikisha kuwa watateuliwa. Lakini bado kutakuwepo na kazi wakati wa kuwapatia habari kwa sababu tunajua kuwa nchi hii ina sehemu mbali mbali. Kuna sehemu ambazo mpaka sasa huwezi kupata The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}