GET /api/v0.1/hansard/entries/1337589/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1337589,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1337589/?format=api",
    "text_counter": 83,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Ruiru, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Simon King’ara",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Spika kwa kunipatia mwanya huu wa kuweza kuwakaribisha wanafunzi kutoka shule ya msingi ya Mwihoko, iliyo pale Ruiru, hapa Bungeni. Ahsante sana haswa kwa uongozi wako mwema, na kuwapatia nafasi angalau kukaa katika Jumba hili la sanaa ambalo unaelekeza. Vile vile, ninachukua mwanya huu kuwatakia kila la heri watahiniwa wote ambao wanajiandaa kufanya mitihani ijao hapo mwakani. Ahsante, Mhe. Spika."
}