GET /api/v0.1/hansard/entries/1337883/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1337883,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1337883/?format=api",
    "text_counter": 377,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Molo, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Kuria Kimani",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana, Mheshimiwa Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii ya kuchangia Hoja hii ya Mwenyekiti wa Kamati ya Uchukuzi na Miundombinu, Mheshimiwa GK. Maswala ya usalama katika anga ni muhimu sana. Tumeidhinisha Mkataba huu baina ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki ya kuwepo kwa maafisa ambao wamehitimu katika maswala ya upelelezi wakati kuna ajali ya ndege. Mkataba huo utahakikisha kuwa tunaweza kuwasiliana vilivyo kama Jumuiya ya Afrika Mashariki The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}