GET /api/v0.1/hansard/entries/1337887/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1337887,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1337887/?format=api",
"text_counter": 381,
"type": "speech",
"speaker_name": "Molo, UDA",
"speaker_title": "Hon. Kuria Kimani",
"speaker": null,
"content": "Tunayo changamoto moja kuhusiana na exchange rate na vile shilingi ya Kenya imepoteza value ukiilinganisha na US dollar. Maswala hayo yote yangetatuliwa ikiwa tungeishi kama Jumuiya ya Afrika Mashariki. Nchi kama Marekani ina nguvu kabisa ulimwenguni kwa sababu ya wingi wa watu, na jinsi ambavyo wameweza kuwasiliana baina ya hizo states . Kila state iko na sheria zake lakini wao ni watu wamoja – the People of theUnited States of America . Kwa hivyo, kama tungeweza kuzingatia mengi zaidi kama kuwa na"
}