GET /api/v0.1/hansard/entries/1338217/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1338217,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1338217/?format=api",
    "text_counter": 294,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "Pia, ningependa kusema community health promoters wamejitolea kwa muda mrefu sana. Ninaaomba tuwakumbuke katika Mswada huu ili wapate hata kama ni kitu kidogo cha kuwapatia nguvu ya kuweza kuhudumia wananchi kwa wepesi. Wanajitolea wakati kuna maradhi mazito. Wakati ule tulikuwa na Korona, community health promoters ndio walikuwa wanazunguka katika majumba. Ni haki kwao kuweza kupata hata kama ni kitu kidogo cha kuwasaidia kusukuma maisha."
}