GET /api/v0.1/hansard/entries/1338218/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1338218,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1338218/?format=api",
    "text_counter": 295,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "Ninaataka nimalizie nikisema ninaunga sana kwa mikono yangu yote Mswada huu wa leo. Ikiwa kuna Mswada mzuri sana unaoguza jamii ambao umeletwa Bungeni, basi ni huu wa leo wa kupeleka huduma ya afya chini mashinani kwa wananchi."
}