GET /api/v0.1/hansard/entries/1338491/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1338491,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1338491/?format=api",
    "text_counter": 76,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": ", itasaidia sana. Maanake King Fahad Hospital Level 5 imewekwa Methadone na imesaidia, lakini watu wangu wa Lamu Mashariki hawajapata Methadone . Nimekuwa nikiimba na kwenda kila upande husika lakini Methadone haijafika hospitali ya Faza. Methadone ikifika …"
}