GET /api/v0.1/hansard/entries/1338495/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1338495,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1338495/?format=api",
    "text_counter": 80,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "ni dawa ambayo ukipewa hospitalini ukunywe, inatoa ile hamu ya kula mihadarati. Lakini mpaka uwe karibu na hiyo hospitali. Ikiwa kama hospitali ya King Fahad imewekwa, mtu wa Lamu Mashariki hawezi toka akaja huku. Sasa inawekwa kwa hospitali ile ya karibu. Ni nzuri na inasaidia hata kushinda rehabilitation centres . Inategemea umetumia drugs namna gani ili daktari akupe dosage . Unaikunywa kulingana na vile daktari anasema. Kama unaikunywa mara mbili, unakunywa asubuhi na unaambiwa urudi jioni. Au kama dose yako ni ya mara moja, unarudi siku ya pili. Inasaidia sana. Hizi rehabilitation centres pia, zisifanywe tu za kulala. Tunafanya zile rehabilitation"
}