GET /api/v0.1/hansard/entries/1338511/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1338511,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1338511/?format=api",
    "text_counter": 96,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kaunti ya Mombasa, ODM",
    "speaker_title": "Mhe. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "Dawa za kulevya zimekuwa donda sugu katika jamii yetu. Kama Mama Kaunti, ningependa kupigia ponde swala hili la kujenga rehabilitation centres . Kama Mama Kaunti wa Mombasa, nilikuwa ninajenga rehabilitation centre pale Mwakirunge Gender-Based Violence (GBV) Centre. Ijapokuwa nimepata changamoto nyingi sana, ujenzi huo unaendelea. Kuna sehemu ambayo imetengwa ya kujenga rehabilation centre. Ninaomba kupata mfuko ambao utanisadia kujenga rehabilitation centre pale ili niweze kusaidia vijana wetu wa Mombasa."
}