GET /api/v0.1/hansard/entries/1338516/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1338516,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1338516/?format=api",
"text_counter": 101,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kaunti ya Mombasa, ODM",
"speaker_title": "Mhe. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "zitagusa wanabiashara wengi wa dawa za kulevya. Nimejaribu siku zote kutafiti ili nijue watoto hawa wananunua dawa za kulevya kutoka kwa nani. Chain hiyo ni ndefu sana. Tutasaidika sana tukipata wahusika wanaouza dawa hizi ili jamii inawiri, isonge mbele na kujenga taifa."
}