GET /api/v0.1/hansard/entries/1338520/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1338520,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1338520/?format=api",
    "text_counter": 105,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kaunti ya Mombasa, ODM",
    "speaker_title": "Mhe. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "Ninakumbuka siku moja nilienda na mke wa Deputy President kuwaona hao waraibu wa dawa za kulevya naye alisikitika sana. Tuliamua kupeleka watoto hao kwa rehabilitationcentre lakini mpaka sasa, hakuna rehabilitation centre . Ninachukua fursa hii kumshukuru ndugu yangu, Abdulrahman, wa Reachout Centre Trust kwa kazi ambayo amefanya katika Mombasa Kaunti. Amerekebisha vijana wengi sana. Ninashukuru sana Reachout Centre Trust kwa kazi nzuri ambayo wanafanya. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}