GET /api/v0.1/hansard/entries/1338560/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1338560,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1338560/?format=api",
    "text_counter": 145,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Juja, UDA",
    "speaker_title": "Hon. George Koimburi",
    "speaker": null,
    "content": " Asante sana, Bi. Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii. Yangu kwanza ni kumpongeza Mhe. John Makali kwa kuileta Hoja hii muhimu ambayo ni ya kupambana na dawa za kulevya humu nchini. Kama mnavyojua, kule kwangu Juja, kuna vyuo vikuu zaidi vitano, kikiwemo kile cha Jomo Kenyatta University. Tumeweza kuchukua hatua muhimu ya kupambana na dawa za kulevya kwa sababu vijana wetu wamekuwa wakija pale na kutumia dawa za kulevya. Tulipambana nao jana."
}