GET /api/v0.1/hansard/entries/1339229/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1339229,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1339229/?format=api",
"text_counter": 470,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Asante sana Mheshimiwa Mwenyekiti wa Muda. Ninataka niweze kumuunga mkono huyu ndugu yangu aliyezungumza. Sio kila kitu vile kinavyokuja basi sisi ni kusema aye, aye, aye, aye . Tumekuja hapa kuwakilisha watu wetu lazima tuchunguze na tuangalie kwa kina kitu gani ambacho tunazungumzia. La sivyo tutapitisha vitu ambavyo vitakuja kututesa sisi pamoja na watu wetu. Kwa hivyo, lazima tuchunguze Waheshimiwa."
}