GET /api/v0.1/hansard/entries/133976/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 133976,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/133976/?format=api",
    "text_counter": 455,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mr. Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 96,
        "legal_name": "Johnson Nduya Muthama",
        "slug": "johnson-muthama"
    },
    "content": "Ahsante, Mhe. Naibu wa Spika. Nimefurahi kupata nafasi ya kuichangia Hoja ya Bajeti ya Wizara ya Leba ambayo ni Wizara muhimu sana katika taifa letu. Ningependa kumfahamisha Waziri kwamba wananchi wa Kenya wameshindwa kuelewa ni kwa nini kubuniwa kwa nafasi za kazi zinazohitajika hakujatekelezwa na"
}