GET /api/v0.1/hansard/entries/1340599/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1340599,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1340599/?format=api",
"text_counter": 155,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Hii elimu ya bure inakuja kama kifurushi jumla. Inakuja na vitabu, chakula na mambo yote ambayo yatamfanya mwanafunzi akikaa darasani awe anaweza kuzingatia masomo. Lakini kila uchao, wanafukuzwa shuleni. Ninawahisi wale wazazi ambao maisha yao ni duni ndio maana kama “Mama Mombasa” ninasema tufuate sheria. Na ninajua ipo katika sheria. Ninafikiri kuna mahakimu ambao wako hapa, na wengi wetu hatujafuatilia sheria kikatiba vizuri. Lakini wako hapa Wabunge wenza ambao wanaweza kuelezea kwa kina kuwa kuna The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}