GET /api/v0.1/hansard/entries/1340669/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1340669,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1340669/?format=api",
    "text_counter": 225,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ahsante sana, Mheshimiwa Spika wa Muda. Kwa sababu ya hayo, ninaomba niongezewe muda. Ninaiunga mkono Hoja hii nzuri zaidi ya Mheshimiwa Wakili Muriu. Ninapendekeza kuwa Bodi ya NG-CDF ipewe nafasi na nguvu zaidi za kuhakikisha kuwa pesa hizi zimefika katika shule za msingi. Kipengele cha 48 cha Sheria ya NG-CDF kimekubalia hayo ila kimejificha. Kiwekwe wazi ndiposa tuhakikishe kuwa watoto wamepewa pesa za ufadhili na chakula kama watoto wengine. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}