GET /api/v0.1/hansard/entries/1340711/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1340711,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1340711/?format=api",
    "text_counter": 267,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Likoni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Mishi Mboko",
    "speaker": null,
    "content": "Nchi yetu haijawekeza zaidi kupata taasisi za umma ambazo zinaangalia mambo ya madawa ya kulevya na kunasua vijana ambao wamepotea na wameharibikia huko. Hivyo basi, ni muhimu sana Serikali iweke taasisi katika kila kaunti ambayo itanasua vijana ambao wameharibikia kwenye matumizi ya mihadarati na pombe haramu."
}