GET /api/v0.1/hansard/entries/1340717/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1340717,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1340717/?format=api",
    "text_counter": 273,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Likoni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Mishi Mboko",
    "speaker": null,
    "content": "Ni wakati mwafaka kubadilisha sheria ya kuruhusu mtu aliye na umri wa miaka kumi na minane kunywa pombe. Waruhusiwe tu watu ambao wana umri wa miaka ishirini na mmoja. Tukiweka hivyo, tutasaidia vijana wengi sana ambao wameingia katika pombe wakiwa na umri wa chini sana. Hili ni suala muhimu na ni lazima tuliangalie."
}