GET /api/v0.1/hansard/entries/1341092/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1341092,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1341092/?format=api",
    "text_counter": 362,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": null,
    "content": " Asante sana, Mhe. Spika wa Muda. Ninataka kusema kwamba huku wakiendelea kuuza velo, kule Lamu tunatafuta dawa ya kuondoa hamu ya matumizi ya madawa ya kulevya. Kutoka Bunge la 12 mpaka sasa hivi nimeandika barua nyingi ili tuletewe methadone na hatujaletewa. Huku wanaendelea kuuza"
}