GET /api/v0.1/hansard/entries/1341815/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1341815,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1341815/?format=api",
    "text_counter": 56,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Badi Twalib",
    "speaker": null,
    "content": "Kama wenzangu walivyosema, mambo haya yalianza kitambo na ni wajibu wa wale waliohusika kuondoa hii asbestos . Kwa mfano, kama eneo langu la Jomvu Amani PrimarySchool tumeondoa asbestos, tuka replace na iron sheets . Jomvu Primary School na Miritini"
}