GET /api/v0.1/hansard/entries/1341817/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1341817,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1341817/?format=api",
    "text_counter": 58,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Badi Twalib",
    "speaker": null,
    "content": "vile vile. Pia, katika shule inayoitwa Bangladesh. Shule hizi zote zilikuwa katika hatari. Leo Mhe. Ibrahim Saney amesema hata pale Kenya Ports Authority (KPA), asbestos ziko. Ninaungana na wenzangu kusema bodi inayohusika na hayo mambo inastahili kuenda nyumbani haraka iwezekanavo. Haiwezekani kukaa kula mshahara wa bure na Wakenya wanakufa. Wao wanajua jambo ambalo linaua Wakenya na wametulia tu. Ninaunga mkono na kusema kuwa Wizara ya Elimu iangalie yale ambayo tumefanya kama National Government-Constituencies Development Fund (NG-CDF). Pia, Ministry of Education iangalie zile shule pale palipobakia asbestos, waziondoe ili kuwalinda watoto wetu."
}