GET /api/v0.1/hansard/entries/1346048/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1346048,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1346048/?format=api",
"text_counter": 113,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "ambalo pia liko Magongo, Kaunti ya Mombasa, lilipelekwa likawekwa pamoja na Shirika la Kenya Pipeline Company Limited. Kama Kenya PipelineCompany Limited ilikuwa yauzwa, kwa nini wakafanya haraka ya kuliunganisha na Shirika la Kenya Petroleum Refineries? Kutoka Kenya Petroleum Refineries isimamishwe mwaka 2013, mpaka sasa bado inaendelea kufanya kazi ya kuweka mafuta na wanapata faida ambayo inaenda kwa Serikali. Tunapoomboleza hayati Sifuna, sisi ambao tuko uongozini sasa ni lazima tuwe mstari wa mbele kulinda maslahi ya wananchi ambao wametuchagua. Hatuwezi kufanya hivyo ikiwa tutaangalia maslahi ya kibinafsi. Nimefurahi kwamba Sen. Chute na Sen. Wamatinga wameweza kuona ukweli na wanaendelea pole pole ‘kuokoka’ na Mwenyezi Mungu atawasaidia waweze kuokoka na lindi ambalo limetanda usoni mwao."
}