GET /api/v0.1/hansard/entries/1346373/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1346373,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1346373/?format=api",
"text_counter": 265,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Asante sana Mhe. Spika wa Muda. Ninampongeza Mheshimiwa ambaye ameleta mjadala huu Bungeni. Ushirikiano wa mataifa ya Afrika Mashariki katika usalama wa chakula na lishe bora ni jambo ambalo limeleta mwamko mzuri katika Afrika. Nimekumbuka Mama Samia Suluhu akimwambia Rais wetu The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor"
}