GET /api/v0.1/hansard/entries/1346375/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1346375,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1346375/?format=api",
"text_counter": 267,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Watoto wetu wametumika katika dunia nzima kuonyesha umaskini, na ukosefu wa chakula na afya bora. Hatuna namna ya kulisha jamii zetu, kama Afrika ili tuweze kuwasaidia. Ninaunga mkono Hoja hii ya leo. Nitasema tena kwamba lishe bora na usalama wa chakula unaanza na sisi wenyewe katika Afrika Mashariki, kisha tutaboresha mataifa yetu. Asante sana, Mhe. Spika wa Muda."
}