GET /api/v0.1/hansard/entries/1346553/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1346553,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1346553/?format=api",
    "text_counter": 71,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": " Asante, Mhe. Spika, kwa kunipatia nafasi hii niwakaribishe wasichana wangu wa shule ya Upili ya Pate. Ninashukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia kufika hapa. Ninawashukuru familia nzima ya Pate Girls. Wao kuletwa hapa ni mfumo tuliouweka Lamu Mashariki – kwamba anayeongoza, iwe shule ya msingi au ya upili, watakuja kutembea Nairobi. Mwaka wa 2022, Pate Girls walikuwa number one Lamu East. Ndio maana wamekuja hapa leo. Nilikuwa nimeng’ang’ana nitimize ahadi yangu kabla hatujapata majibu ya 2023. Tuombe Mungu waje hapa tena; na kama si wao, waje wengine."
}