GET /api/v0.1/hansard/entries/1346554/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1346554,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1346554/?format=api",
    "text_counter": 72,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Ninachukua fursa hii niwasihi watoto wangu wazuri. Ninajua maeneo tunayotoka. Mnaskia vile Wabunge wanavyozungumzia mambo ya maeneo magumu. Nyinyi mnajua maeneo magumu ina maanisha nini. Ni nyinyi wenyewe mubadilishe kule. Sisi tunang’ang’ana. Elimu ndiyo itatufanya sisi tuyabadilishe yasiwe maeneo magumu."
}