GET /api/v0.1/hansard/entries/1346559/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1346559,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1346559/?format=api",
    "text_counter": 77,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Lamu East, JP): Ninawakaribisha Nairobi. Ninawakaribisha Bunge. Mtembee mjionee ndio mubadilishe mawazo na akili zipanuke zaidi. Karibuni sana. Huko Pate Girls, kuna nafasi za waalimu interns . Watu hawataki kwenda huko kwa sababu ni maeneo magumu. Tuna nafasi 47, lakini waalimu hawataki kwenda Lamu Mashariki kwa sababu ni maeneo magumu. Wenzangu hapa wajue “maeneo magumu” inamaanisha nini. Kama kuna watu wenu ambao wangetaka kuja kule, waje. Tikiti kutoka hapa kufika Lamu Mashariki ni elfu kumi na tano. Mnalipa mwalimu intern elfu kumi na tano! Watasomeshwa na akina nani?"
}