GET /api/v0.1/hansard/entries/1347770/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1347770,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1347770/?format=api",
    "text_counter": 263,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": " Ahsante Bw. Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii ili nichangie hili Baraza la Kitaifa la Wazee. Wazee ni baraka. Tunaelewa vizuri kwamba wazee wamefanya kazi na kustaafu. Lakini wao wamestaafu kwa sababu ya miaka tu, lakini tumbo halijastaafu. Tumbo lataka kuangaliwa vile vile kila siku. Kuna haja kubwa ya wazee kuangaliwa na kupangiwa mipango mizuri ili wawe baraka kwetu; isiwe ni usumbufu kwetu."
}