GET /api/v0.1/hansard/entries/1347773/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1347773,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1347773/?format=api",
    "text_counter": 266,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Kuna desturi za watu wengine au utamaduni ambapo wazee wanaonekana kama washamaliza kazi yao na hawafai tena. Hizo ni laana na Serikali inafaa iangalie jambo hilo kwa karibu. Kuna wale watoto ambao hawaangalii wazazi wao. Hayo mambo ya kusema mzee ni mchawi inastahili hatua na adhabu kali. Mambo hayo yanatokea sehemu zingine. Mtu amekuzaa, amekulea, amekufanyia mambo yote, kisha waja kusema ni mchawi kwa sababu The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}