GET /api/v0.1/hansard/entries/1347774/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1347774,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1347774/?format=api",
"text_counter": 267,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "pengine wataka ardhi yake, ama pengine watoto wake wamekushinda. Tunataka Serikali iweke mikakati ya kusaidia hao wazee. Mtu akiyafanya mambo kama hayo, liwe funzo kwa wengine wasiweze kuyafanya tena. Inasikitisha. Pale kwetu, sisi tunafundishwa kuheshimu wazee wa wengine na majirani zaidi hata kushinda wako. Kisha upate mtu anamuita mzee mchawi. Yeye ndiye mchawi. Itabidi baraza hili liangalie mbinu, bali na mambo ya matibabu. Itabidi baraza hili litumike kama"
}