GET /api/v0.1/hansard/entries/1347839/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1347839,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1347839/?format=api",
    "text_counter": 332,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Shinyalu, ANC",
    "speaker_title": "Hon. Fred Ikana",
    "speaker": null,
    "content": "Gathoni Wamuchomba, kwa kutuletea Mswada huu ambao unalenga kuimarisha maisha ya wazee wetu. Kama Mbunge wa Shinyalu, ninaunga mkono Mswada huu kikamilifu kwa sababu ni wakati mwafaka wa kuhakikisha kuwa tunazingatia maswala yatakayowasaidia wazee wetu kuishi maisha bora. Vile vile, itawawezesha kupata bima ya afya na mapato yatakayowawezesha kuishi kama wananchi wanaoheshimika. Kwa hayo machache, ninaunga mkono Mswada huu."
}