GET /api/v0.1/hansard/entries/1347849/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1347849,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1347849/?format=api",
    "text_counter": 342,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Magarini, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Harrison Kombe",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante, Mheshimiwa Spika wa Muda, na pongezi kwake Mheshimiwa Gathoni kwa kuleta Mswada huu. Hakika ni jambo la busara kwamba Bunge hili liweze kupitisha Mswada huu, na utimizwe. Hakika kunapokuwa na vituo vya kulinda na kuhifadhi wazee, hata baadhi yetu nafikiri tutaweza kufaidi katika Mswada huu. Kuna Wabunge wengi ambao wamekuwa wakiishi maisha ya taabu, shida na mashaka wakati wakiwa na umri wa juu. Vituo hivyo vitaweza kusaidia."
}