GET /api/v0.1/hansard/entries/1349761/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1349761,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1349761/?format=api",
"text_counter": 105,
"type": "speech",
"speaker_name": "Baringo County, UDA",
"speaker_title": "Hon. Jematiah Sergon",
"speaker": null,
"content": "Pia, nachukua fursa hii kuhimiza kuwa wananchi wa Jumuiya watafurahia katika uongozi wako na kuona tofauti kulingana na uongozi wako. Kama mmoja wa waliokuwa Wajumbe wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Jumuiya yetu inakua kwa kasi kubwa sana. Tuko na nchi saba ambazo zinaweza kukabiliana na mambo yote kwa sasa: uchumi na rasilimali za nchi. Kenya, ikiwa mstari wa mbele, najua uongozi wako utapeana mwelekeo thabiti. Mimi ni mmoja wa viongozi ambao watashiriki kwenye michezo ijayo huko Kigali. Mimi ni mchezaji wa kutegemewa sana."
}