GET /api/v0.1/hansard/entries/1350063/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1350063,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1350063/?format=api",
"text_counter": 407,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Mheshimiwa Mwenyekiti wa Muda, ninakubaliana na Mhe. Chepkonga kwa kuliondoa pendekezo lake kwa sababu lingeleta sintofahamu katika sheria hii. Kama alivyosema mwenzangu, si vizuri sheria zinazotoka nje na ambazo zinaweza kumuumiza mwananchi zaidi, zipenyezwe ndani ya Bunge hili. Ninamuunga mkono, Mhe. Chepkonga. Amefanya vizuri kwa kuliondoa pendekezo lake."
}