GET /api/v0.1/hansard/entries/1350449/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1350449,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1350449/?format=api",
"text_counter": 209,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": ", kwa hisani yako, vile zimepita hapa, ni Mungu ametaka ili counties zipate pesa. Wape magavana pesa waweze kufanya kazi na tujenge taifa pamoja. Hili limepita. Ni kazi ya Mungu ndio watu wa chini waweze kusaidika. Ahsante sana, Mhe. Mwenyekiti wa Muda."
}