GET /api/v0.1/hansard/entries/1352675/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1352675,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1352675/?format=api",
    "text_counter": 2435,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Malindi, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Amina Mnyazi",
    "speaker": null,
    "content": "tayari kulikuwa na pesa ambazo zilikuwa zimekopwa. Lakini cha kustaajabisha kwa sasa ni kama tumefungua milango ya watu kwenda kuomba kila mahali: kushoto, kulia, mbele na nyuma. Kila siku tunaona watu wanatoka hapa wanaenda nje ya nchi kuomba mikopo. Wanazidishia Wakenya madeni. Kama kiongozi, jambo hilo linaniuma hasa nikifikiria kuna watoto na wajukuu wangu ambao watateseka kulipa madeni ambayo tunachukua wakati huu. Mhe. Bwana Spika wa Muda, hapo awali, kiwango cha juu kabisa, yaani the national"
}