GET /api/v0.1/hansard/entries/1352692/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1352692,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1352692/?format=api",
"text_counter": 2452,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kapenguria, UDA",
"speaker_title": "Hon. Samwel Chumel",
"speaker": null,
"content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika, kwa kunipatia nafasi ili nichangie Ripoti ya hii Kamati. Kwanza, ningetaka kuishukuru kwa kuketi na kukubaliana hadi tumepata hii Ripoti. Huu ni mwenendo mzuri na mwelekeo utakaowapeleka Wakenya inavyostahili ili wasaidike siku za usoni. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}