GET /api/v0.1/hansard/entries/1352693/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1352693,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1352693/?format=api",
"text_counter": 2453,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kapenguria, UDA",
"speaker_title": "Hon. Samwel Chumel",
"speaker": null,
"content": "Kamati kama hii haikuwa kwa hizo Parliament ambazo zimepita. Kwa hivyo, ninachukua nafasi hii kushukuru viongozi wetu kuanzia Speaker na waliochangia kamati hii kuundwa na kuleta Ripoti hii. Sasa tunajua wanao deal na madeni. Si kusema ni huyu ama yule bali Kamati hii inajua ni deni gani imechukuliwa na gani imelipwa. Huo ni mweleko mwema. Ningetaka kuwauliza wenzangu, kama wanajua huu ni mkono mmoja wa Serikali, kwa sababu ina mikono mitatu. Tukisema Serikali imefanya kitu fulani, sisi wenyewe lazima tuweke kidole na kufanya ule mkono uangalie upande wetu. Vile hii Ripoti imekuja inafaa"
}