GET /api/v0.1/hansard/entries/1352695/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1352695,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1352695/?format=api",
"text_counter": 2455,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kapenguria, UDA",
"speaker_title": "Hon. Samwel Chumel",
"speaker": null,
"content": "wafuatilie na kujua ni nini kinaendelea. Sisi ndio tunajenga Kenya. Kama vile mwenzangu mmoja amesema hapa, ni wananchi walijitokeza na kutuchagua ili tuwawakilishe. Hakuna kitu ambacho tunaweza kuharibu tukiwa hapa."
}