GET /api/v0.1/hansard/entries/1352698/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1352698,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1352698/?format=api",
"text_counter": 2458,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": " Asante sana Mhe. Spika wa Muda. Kwanza, ningependa kusema tuwe tukiangalia tarakilishi kuhakikisha kuwa mtu ambaye amekuja mwanzo kutoa hoja zake katika Bunge anapewa nafasi mwanzo. Wengine tunakuja mapema ili tuwahi. Pengine tuna safari zingine. Kama Mama Mombasa Kaunti, ninshataka kuwa mwazi nikichangia hii Ripoti ambayo imeletwa hapa kuhusu mambo ya deni na privatization. Serikali ya Kenya imekuwa ikikopa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}