GET /api/v0.1/hansard/entries/1352704/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1352704,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1352704/?format=api",
"text_counter": 2464,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Mheshimiwa Spika wa Muda, Naibu wa Rais alienda kuangalia waathiriwa. Badala aomboleze nao, alianza kutukana magavana. Ni vibaya kwa sababu tunaambiwa kwamba pesa za matumizi ya dharura zilikuwa katika mamlaka yake. Kwa hivyo, ingekuwa bora zaidi kama angetoa pole kwanza kwa waathiriwa halafu aeleze kilichosababisha kuchelewa kupelekwa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}