GET /api/v0.1/hansard/entries/1353067/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1353067,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1353067/?format=api",
"text_counter": 283,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bi. Spika wa Muda, ningependa kuchukua nafasi hii kutoa asante kwa kunipa nafasi hii ili kutoa maoni yangu kuhusu Mswada huu wa Safety wa chakula ama usafi wa chakula. Ninajiunga na wenzangu kusema ya kwamba hii ni sheria muhimu sana. Sitakuwa mrefu lakini nitaongea tu kwa ufupi. Mimi ni mmoja wa wale ambao wanawakilisha Kenya kwa COMESA Competition Commission na muhula wangu utaisha mwaka ujao. Kuna wakati tulienda Malawi ambako ndiko headquarters ya COMESA Competition Commission. Barabarani tukitoka airport, nikaona kitu kingine cha maajabu sana kwa sababu sikuwa nimeona kitu kama hicho. Niliona panya. Panya alikuwa amekatwa vizuri, amekoka vizuri na pale stage, vijana walikuwa wamekuja na panya na wanajaribu kutuuzia. Nikawauliza wale wenzangu, je, hawa watu wa Malawi wanakula panya? Wakanijibu, “sisi tunakula panya.” Nikawaambia kuwa kule kwetu hiyo sio kawaida, hawauzwi. Wakaniambia kuwa"
}