GET /api/v0.1/hansard/entries/1353069/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1353069,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1353069/?format=api",
    "text_counter": 285,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mungatana, MGH",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "ni nzuri sana, hebu ijaribu”. Basi tukashusha vioo, tukaitisha panya, tukalipa Kwacha, na tukaila. Ilikuwa nzuri sana. Niliporudi nyumbani baada ya kazi nikawaambia watoto wangu ya kwamba, mimi nilienda Malawi na nikala panya, walisema, “Usitushike! Usitushike kwanza.” Hawaamini kwamba hicho chakula ni sawa na walifikiri nimewaletea maradhi."
}